Video: Yanga Yawashukuru Mashabiki Kujitokeza Uwanja wa Mkapa

KLABU ya Yanga SC leo Septemba 1, 2020 imewashukuru mashabiki wake kwa kujitokeza kwenye Tamasha la Wiki ya Mwananchi siku ya Agosti 30, sambamba na hayo wameomba radhi kwa mashabiki ambao hawakupata nafasi ya kuingia uwanjani kutokana na Uwanja wa Mkapa kujaa na kuahidi kuwa kwenye tamasha lijalo watafanya juhudi za kupata viwanja viwili.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCxToa comment