Vilio Vyatawala Mwili wa Makongoro Ukiwasili Kwake – Video

Mwili wa mwanasiasa mkongwe, Makongoro Mahanga, umewasili nyumbani kwake maeneo ya Segerea kwa ajili ya mazishi ambayo yatafanyika leo Machi 26.
Toa comment