Wachezaji, kocha wa kigeni vibali vya kazi vyatakiwa kuwasilishwa Uhamiaji

1 0

Klabu zote nchini ambazo zimeajiri wachezaji na makocha wa kigeni zimetakiwa kuwasilisha orodha ya Waajiri hao pamoja na vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini katika Idara ya Uhamiaji klaba ya kuanza mashindano ya msimu huu.

Hivyo, klabu za Mkoa wa Dar Es Salaam zinatakiwa kuwasilisha taarifa hizo ofisi ndogo ya Makao Makuu ya Idara ya Uhamiaji iliyoko Kurasini, wakati nyingine ziwasilishe ofisi za Uhamiaji za mikoa yao.

Posted from

Related Post

FA Ghana yatimua makocha tisa

Posted by - January 5, 2020 0
ACCRA, Ghana  CHAMA cha Soka cha Ghana kimefumua mabenchi ya ufundi ya timu zote za taifa kwa kuwafukuza makocha wake…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *