Wachezaji wanne wa Lipuli mbaroni

31 0


NA TIMA SIKILO

UONGOZI wa Lipuli FC ya mkoani Iringa, umetoa taarifa ya kukamatwa kwa wachezaji wao wanne, Seif Karihe, Issa Ngoah, Darwesh Saliboko na Paul Nonga.

Taarifa inaeleza kuwa wachezaji hao wametiwa mbaroni jioni hii wakitokea katika ofisi za klabu yao na baadhi ya viongozi tayari wapo kituoni wanaendelea kufatilia sakata hilo.

Lipuli wanarajia kucheza na Polisi Tanzania kesho mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara katika Uwanja wa Samora.Source link

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *