Wafanyakazi wa hoteli wavuliwa nguo zote kwa shutuma za wizi Nigeria

7 0

Kundi la wakili wa haki za binadamu mjini Warri, kusini mwa Nigeria, linatafuta fidia ya kuwalipa wafanyakazi wanne ambao walidaiwa kuvuliwa nguo na mwajiri wao.

Wafanyakazi hao wanashutumiwa kuiba fedha za wageni, vyombo vya habari nchini humo vimeripoti baada ya kuambiwa na baadhi ya wageni.

Wafanyakazi hao walikuwa wanne, watatu wakiwa wanawake na mmoja mwanaume waliamuriwa kuvua nguo na kuvua nguo huku polisi wakiwa wanashuhudia.

Picha na video za wahanga hao wakiwa wamesimama bila nguo zilitumwa na wengi mtandaoni.

Wakili wamemuandikia barua mmiliki wa hoteli ambaye ni Waziri wa zamani wa Nigeria kwa kuvunja sheria kwa udhalilishaji na kuingilia faragha ya wengine.

Wakili hao wanamtaka aombe radhi umma pamoja na kulipa fidia kwa wafanyakazi aliowadhalilisha.

Waliofanyiwa vitendo wanadai picha zilizorushwa mtandaoni zilikuwa zinawadhalilisha.

Posted from

Related Post

Mr Nice: Muziki Pekee Unaua

Posted by - June 6, 2020 0
Mr Nice: Muziki Pekee Unaua June 6, 2020 by Global Publishers MSANII aliyejizolea umaarufu mkubwa ndani na nje ya Bongo…

Man United chali, Chelsea wapeta

Posted by - August 25, 2019 0
Man United chali, Chelsea wapeta August 25, 2019 by Global Publishers   WAKATI Manchester United ikipigwa nyumbani, wenzao Chelsea walishinda…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *