Wagombea 14 CCM Wapita Bila Kupingwa, Babu Tale, Kabudi


Mgombea Ubunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Shabani Taletale ‘Babu Tale’ kupitia CCM amepita bila kupingwa.

Waagombea wa CCM waliopita bila kupingwa ni;

1. Ruangwa, Lindi – Kassim Majaliwa
2. Kilosa, Morogoro – Prof. Palamagamba Kabudi
3. Gairo, Morogoro – Ahmed Shabiby
4. Mvomero, Morogoro – Jonas Van Zeland
5. Morogoro Kusini -Innocent Kalogeris
6. Morogoro Mjini – Abdulazizi Abood
7. Misungwi, Mwanza – Alexander Mnyeti
8. Ushetu, Simiyu – Elias Kwandikwa.
9. Mtama, Lindi – Nape Nnauye.
11. Kwimba, Mwanza – Shanif Mansoor.
12. Vwawa, Songwe  – Japhet Hasunga.
13. Morogoro Kusini Mashariki – Hamisi Taletale.
14. Ludewa, Njombe – Joseph KamongaToa comment