Wagonjwa wa Corona wafika 19 Tanzania, Waziri Ummy afafanua (Video)

28 0


“Tumethibitisha kuwepo kwa wagonjwa wapya watano wa corona, watatu ni kutoka jijini Dar es Salaam na wawili ni kutoka Zanzibar, hivyo kwa sasa tuna jumla ya wagonjwa 19 akiwemo mgonjwa aliyetolewa taarifa na Waziri wa Afya wa Zanzibar March 28,2020” Waziri wa Afya @ummymwalimu.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *