Walioambukizwa Corona Tanzania Wafikia 19

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wa corona nchini Tanzania imefika 19. Hii ni baada ya wagonjwa watano kuthibitika leo Katika Maabara Kuu ya Taifa kuwa wameambukizwa virusi hivyo.

 

Miongoni mwao, watatu wametoka Dar es Salaam na wawili Zanzibar huku akiwemo pia mgonjwa mmoja ambaye altolewa taarifa hivi karibuni na waziri wa Afya wa Zanzibar.
Toa comment