Wanawake waandamana kumtaka Rais Lukashenko kujiuzulu (+Picha)

2 0

Takriban wanawake elfu 10 walifanya maandamano katika mji mkuu wa Belarus, Minsk hapo jana wakitaka kujiuzulu kwa Rais wa nchi hiyo Alexander Lukashenko ikiwa ni siku ya 35 ya mfululizo wa maandamano makubwa dhidi ya serikali.

Rais Alexander Lukashenko

Waandamanaji wengi walibeba picha za Maria Kolesnikova, kiongozi wa baraza la uratibu la upinzani linalotaka kuandaliwa kwa uchaguzi mpya wa urais katika taifa hilo lililokuwa la muungano wa kisovieti, aliyefungwa gerezani wiki hii baada ya polisi kujaribu kumfurusha kwa lazima kutoka nchini humo.

Thousands flood Belarus capital as election protests grow - Houston  Chronicle

Waandamanaji wengine walibeba mabango yaliokuwa yameandikwa ”ulipaka moyo wangu na machungu ya samawati” wakimaanisha madai ya Lukashenko kwamba awali baadhi ya wanawake walijipaka rangi kuonyesha kuwa walipata majeraha baada ya kupigwa na polisi.

10,000 women march to demand that Belarus president resign | PBS NewsHour  Weekend

Kundi la kutetea haki za binadamu la Viasna, limesema kuwa zaidi ya watu 70 walikamatwa wakati wa maandamano hayo. Lukashenko amekataa kukutana na baraza hilo na viongozi wengi wamezuiliwa ama kuondoka nchini humo.

10,000 women march to demand that Belarus president resign | World |  leadertelegram.com

10,000 women march to demand that Belarus president resign

10,000 women march to demand that Belarus president resign | PBS NewsHour  Weekend

10,000 women march to demand that Belarus president resign | WBMA

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *