Wasanii Waliovishwa Kofia na JPM Hadi Sasa, Hawa Hapa…

2 0Wasanii Waliovishwa Kofia na JPM Hadi Sasa, Hawa Hapa…

MGOMBEA urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea na utaratibu wa kuwavisha kofia wasanii wanaotumbuiza kwenye kampeni za chama hicho.

 

 

Leo ilikuwa ni zamu ya msanii wa Singeli, Meja Kunta na Snura Mushi ambao wamevishwa katika kampeni zilizofanyika Urambo mkoani Tabora.

 

 

Wasanii wengine ambao tayari wamevishwa kofia na rais ni Diamond Platnumz, Harmonize,  Alikiba, Kala Jeremiah, Mrisho Mpoto na Stamina.

 Toa comment

Posted from

Related Post

ULINZI MKALI KAMBI YA YANGA

Posted by - March 1, 2020 0
Winfrida Mtoi HOMA ya pambano la watani wajani, Simba na Yanga, imeanza kushika kasi kutokana na kila upande kuanza kuweka…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *