Yanga Walivyozindua Rasmi Uzi Wao Mpya wa 2020/201 (Picha+Video)

1 0Yanga Walivyozindua Rasmi Uzi Wao Mpya wa 2020/201 (Picha+Video)

YANGA kwa kushirikiana na kampuni ya GSM, leo Septemba 11, 2020  wametambulisha jezi rasmi za timu hiyo watakazozitumia msimu wa 2020/21.

Hafla hiyo ya utamburisho wa jezi hizo mpya ilifanyika leo asubuhi Makao Makuu ya timu hiyo Jangwani jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na Waandishi wa Habari, Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC, Fredrick Mwakalebela alisema kuwa hizo ndiyo jezi rasmi na halari za Yanga watakazozitumia katika msimu ujao.

Mwakalebela alisema kuwa, jezi hizo zina ubora mkubwa ukilinganisha na jezi za mwaka jana. Pia wamezindua duka kubwa la vifaa mbalimbali vyenye nembo ya Yanga.

 Toa comment

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *