YANGA YAUNDA UKUTA WA CHUMA

1 0


NA WINFRIDA MTOI

KWA usajili uliofanywa na Yanga msimu huu, imeonekana kuwa na ukuta bora kuliko hata mahasimu wao Simba kulingana na wachezaji waliongezeka na wale walikuwepo msimu uliopita.

Katika ukuta wa Yanga kwasasa unaoongozwa na Lamine Moro, uwepo wa Bakari Mwamnyeto, Juma Makapu na Abdallah Shaibu ‘Ninja’, ni wazi yoyote anaweza kusimama.

Ubora wa ukuta huo ulidhihirika jana katika mechi ya timu hiyo dhidi ya Kagera Sugar uliomalizika kwa Yanga kushinda bao 1-0.

Mashabiki wa Yanga wamekuwa wakijivunia kikosi hicho kipya lakini wakiamini msimu huu hakutakuwa na ile hali ya kufungwa mabao mengi.

Msimu uliopita, Wanajangwani hao waliruhusu mabao 28, kitendo ambacho kiliwafanya washindwe kuonesha ushindani kwa watani zao Simba ambao waliochukua mataji yote.

Hata hivyo, Wanayanga wanaamini msimu huu hali hiyo haitajitokeza tena kwa sababu hawatawategemea zaidi mabeki wawili, Kelvin Yondani na Lamine, kama ilivyokuwa msimuSource link

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *