Zuchu akabidhiwa gari lake rasmi alilozawadiwa na Diamond likiwa na muonekano mpya, aeleza haya (+Video)

1 0

Msanii wa muziki wa bongo Fleva @officialzuchu leo amekabidhiwa gari lake rasmi likiwa limekarabatiwa upya baada ya kuzawadia na @diamondplatnumz .

Gari hilo Zuchu baada ya kukabidhiwa alilipelekwa kwa Rider na kwend akuwekewa Rym mpya, Seat Cover, Rangi nyingine na vitu kadhaa ambavyo linauwezekano wa kurekebishwa.

Akikabidhiwa gari hilo Zuchu amefurahi sana na akisema kuwa gari lake lilichukuliwa hakuambiwa linaenda kuwekwa rangi gani kwahiyo imekuwa kama Suprise kwake na amelipenda likiwa na muonekano mpya.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *