Zuchu: Naupenda sana wimbo wa Tommy ft Alikiba Omukwano na nilimwambia kuwa ndio wimbo wangu pendwa (+Video)

14 0

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka lebo ya WCB iliyopo chini ya Diamond Platnumz Zuchu ameweka wazi kuhusu taarifa zinaenezwa kuwa yupo kwenye mahusiano na Boss wake Diamond Platnumz.

Mbali na hilo Zuchu pia amezungumzia sakata lake na Tanasha la kudaiwa kuiba wimbo na ku copy kila kitu kutoka kwa Tanasha.

Zuchu pia amezunguzia kuhusu wasanii waliotambulishwa wote kwa pamoja mmoja akiwa ni Tommy Flavour kutoka Kings music na mwingine Ibrah kutoka Konde Gang.

Akizungumzia hilo Zuchu ameweka wazi kuwa yeye ni shabiki mkubwa wa wimbo wa Omwukwano wa Tommy aliomshirikisha Alikiba na kusema kuwa hata siku Tommy anauandika wimbo huo walikuwa wote studio na alimwambia anaupenda sana.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *